Friday, 17 April 2015

KINGINE JUU YA WATUHUMIWA 10 WALIOKAMATWA MSIKITINI WAKIWA NA MABOM.

Stori kubwa zilizosikika kwenye Magazeti ya leo April 17, kupitia show ya PowerBreakfast ya Clouds FM , zikichambuliwa na Paul James nakukaribisha mtu wangu…
Dereva aliyebeba watuhumiwa wanaodaiwa kuwa magaidi Kidatu asimulia tukio hilo, Mkuu wa Mkoa Mwanza Magesa Mulongo amesema taarifa za magaidi kuvamia Mkoa huo sio za kweli, Mtanzania abuni kifaa cha kufundishia bila mwalimu, Mkurugenzi wa TEHAMA, Ally Simba amesema sheria za usalama wa mitandao zilizowasilishwa Bungeni hivi karibuni zimetungwa kukidhi matakwa ya kimataifa.
Nyingine zilizosikika iko ya binti anaedaiwa kubakwa na Emmanuel Mbasha vipimo vimeonesha hakufanyiwa kitendo hicho,  Mbunge William Ngeleja amejikuta kwenye wakati mgumu wakati akizungumza na wananchi wa jimbo lake, Waziri Samuel Sitta amemsimamisha kazi Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya reli Kapallo Kisamfu..
Kulikuwa na mazungumzo na Katibu Mkuu wa jukwaa la wahariri Nevile Meena ambae ametoa mawazo yake juu ya Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao wa mwaka 2015 uliopitishwa na Bunge hivi karibuni.

millardayo.com

JANUARY MAKAMBA. aguswa na ajali zinzo endelea kutokea Tanzania. na haya ndio aliyo yasema.

Kumekuwa na ripoti ya habari za ajali mfululizo za magari TZ.. watu wengi wamefariki na wengine kupata majeraha kutokana na ajali hizo.
Ripoti ya Jeshi la Polisi iliyotoka siku chache zilizopita ilionesha kuwa Mwezi April  2015 umeongoza kwa kuwa na ajali chache lakini idadi ya watu waliofariki ni kubwa zaidi tangu mwaka 2015 uanze.
Naibu Waziri na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter, kuhusu kile ambacho aliwahi kupendekeza kifanyike ili kumaliza tatizo la ajali hizo.

NEY WAMITEGO BAADA YA VIPIMO VYA DNA YEYE NA MTOTO WAKE.

Baada ya msanii Nay Wa Mitego kuwa kwenye maelewano mabaya na mzazi mwenzie na kuamua kumchukua mtoto wake  lakini mama yake alikuja kudai kuwa sio mtoto wakeNay na kuamua kwenda kufanya vipimo vya DNA ili kujua kama sio baba halali wa mtoto huyo.. baadae taarifa zikasambaa kuwa yuko kwenye mahusiano na muigizaji Shamsa Ford.
Diamond ni mtu wa kwanza kuvujisha picha ya kimapenzi ya nay na Shamsa katika ukurasa wake wa Instagarm alipoulizwa akajibu hivi… ‘ila Nay anyway tulikaa sisi na Naytunazungumza nini kwenye simu yake na Nay naona sijui nilikua naangalia nini  katika simu yake alinigea naangalia hii katika kupita zangu nakutana na ile picha nikajitumia nikaipost ndio hivyo tuu basi”
Akizungumza na Soudy Brown kuhusu ishu hiyo Nay amesema watu wanaongea lakini hakuna ukweli wowote hata Diamond anajua hawako kwenye mahusiano ila tu nimkorofi.
Akizungumzia kipimo cha DNA alichoenda kufanya na mtoto wake amesema aliamua kufanya hivyo kwa usalama wa mtoto kutokana na kile kilichotokea ili asije kupata shida badae kipimo ambacho kilichukua zaidi ya wiki mbili na wakili wake ndi alienda kuchukua majibu.. amesema alikuwa na wasiwasi kwasababu siku zote mama ndio anaemjua baba wa mtoto, lakini anamshukuru Mungu yuko wa watoto wake na yeye ni baba mzuri na hana tatizo na mwanamke yeyote ..ameanza maisha mapya na watoto wake.

GWAJIMA ON HEADLINE TENA

Asubuhi ya leo imeripotiwa stori ya Askari Polisi wakiwa na silaha kuizunguka nyumba yake, Mbezi Salasala DAR.. waumini wake, waandishi wa habari pamoja na watu wengine walikuwa pembeni pia, kuangalia kinachoendelea.
Muda mfupi baadae imeripotiwa kwamba Askofu huyo alienda Kituo cha Polisi Centre lakini haikuchukua muda mrefu akatolewa na kupelekwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DAR.. kilichokuwa kinaendelea hapo hakuna aliyejua.
Kuna taarifa kwamba Askofu huyo alitakiwa kuripoti Kituo Cha Polisi jana lakini hakwenda, mashuhuda wanahisi hiyo ndio sababu iliyofanya Askari kuizunguka nyumba yake leo.
Mvutano uliopo ni kuhusu kuwasilisha nyaraka za vitu anavyomiliki, lakini amegoma kwenda kuhojiwa mpaka wapate barua kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.
millardayo.com

AFRIKA YA KUSINI HAPAKALIKI.

wenyeji wawa ua wahamaiaji wa kiafrika

huku dai lao kuu ni kwamba wanakosa ajira hapo nchini kwao wao kama wazawa na ajira zote zinachukuliwa na wageni , hivyo wanafanya msako na kuwa ua kwa kuwachinja pamoja na kuwachoma moto wahamiaji bila a kujali wanawakwe watt au wazee..

jionee picha mwenyewe.









yanayo fanywa na wasauzi si mambo ya kuigwa na taifa lolote lile. MUNGU WANUSURU WATANZANIA WALIOKO HUKO PAMOJA NA WAHAMIAJI WENGINE WOTE.

Sunday, 12 April 2015

see you again- wizzy khalifa ------FAST AND FURIOUS 7


see you again wizzy khalifa official video fast and furious 7

https://www.youtube.com/watch?v=PJyjJtp0Gmohttps://www.youtube.com/watch?v=PJyjJtp0Gmo

WEMA SEPETU AWAJIA JUU WANAO MLAZIMISHA KUZAA

Mwanadada wa filamu nchini Wema Sepetu amesema amewachoshwa na watu wanaomuuliza kila mara maswali ya lini atapata mtoto.
Kupitia Instagram Wema a.k.a mrs. Chibu alipost picha ya mbwa wake na kuandika ujumbe huu:
“Okay… Lets get things straight here…. See dat doggie up there… Y’all see her….? Dat is my bebi…. since i dont have a bebi… Huyo ndo mtoto wng… Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta… Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child im happy for u… Nd wish u da best… I dont… Ndo mungu alivyonipangia… So please hey…. Watakaozaa all da best… Walio na mipango ya kuzaa hongereni… Mimi sina … Im done… Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko…. Na wale wa subhannah llah pia nisiwaone… This is getting too personal sasa.”

Thursday, 2 April 2015

ALSHAABAB KENYA MAAFA

zaid ya wanafunzi wa chuoncha CHRASO 150 wameuwawa kwa kupigwa risasi na alshbaab..na wengie zaid ya 80 wakiwa majeruhi na zaid ya 250 hawajulikani mahala walipo.