Tuesday, 12 April 2016

WANAFUNZI WAFARIKI TETEMEKO MAKELELE UGANDA

NILI MNUKUU MMOJA WA WANAFUNZI

"Jana ilikua ni shida jamani tulikua darasani na kusikia mtetemeko mkubwa na kuanza kukimbilia nje kutoka tukakuta horofa jirani nimeanguka chini lote na Kuna watu walio fariki na wengine wameweza kutolewa Ila adi sasa Kuna wengine wapo chini maana walikua wakiwapigia ndugu zao simu na kuja kufika Saa mbili usiku wakawa wanawatafuta hawapokei cm na kulikuwepo na gereji Kwa chini na ni mmoja tu aliye baatika kitoka kati ya 9 kwaiyo Bado haijajulikana Nipo kinaendelea"













No comments:

Post a Comment